Nimeishi kwa miangaiko mingi sana.Kwa miaka kumi bila kupata mafanikio zaidi.Pia nimeishi kwenye familia masikini sana.Baba na Mama yangu hawana uwezo kazi yao niukulima tu wananitegemia mimi.Na shindwa kusonga mbele kutokana na majukumu mengi.Pia nina mdogo wangu wa kiume anamatatizo ya macho aoni kabisa.Nahitaji misaada zaidi iliniweze kupunguza ugumu wa maisha.
Asanteni Endapo kama nitakubaliwa.
No comments:
Post a Comment